@jemz_one@andy_jd3@Mr_AfroDiallo Mm npo nyarugusu hadi huu mda,unachokisema it's true lkn ningumu Sana kiuhalisia Tena kwa mtu anaenza kabsa,40ml kupeleka 800ml miez miwil inafikirisha Tena kwa mgeni wa biashara hyo,.nataman kukupa elimu zaidi namna pesa ya kwenye madini inavyotengenezwa
@jemz_one@Mr_AfroDiallo Yote nisawa ,npo hayo maeneo japo spo kwenye field hyo lkn Naona jinsi inawapa shida,very risky kwa anaeanza. Japo wanfaulu pia wengn
@jemz_one@Mr_AfroDiallo Uchimbaji mzee ni very risky japo ulivyosema inawezekana lakini uwe mzoefu Sana,sio ishu nyepesi hvo.. unawez kuziweka hko na ukala loss au zikakuishia kabsa