@eastafricatv@earadiofm Miongoni mwa wanawake ninaopenda kuwasikiliza, ana busara sana. Mwingine ni samia. Ila nikikumbuka wabunge walivyokua wanamchachafya,, naishia kusema (hiii bagosha)
@darmpya_@ccm_tanzania Hongera zako kakurwa, endelea kutufundisha kiswahili sisi tusiojua. Na sasa nimejua kuwa
KUUA ni kumfutilia mbali mwanasiasa uchwara.
Na kumbe nikiandika nataka KUMUUA BASHIRU eti ni kukuondoa kwenye hiyo nafasi nakua sahihi?
@darmpya_ Yaani umlaumu mkuu wa wilaya au diwani kwa kukosa maji kijijini kwako?
Kuna tatizo liko mahali na halisemwi, na mwisho wa siku atatafutwa wa kubomokewa na nyumba japo haitasaidia,tatueni tatizo lilipo maana mnalijua
HAKUNA PESA