Mwalimu pekee anayefundisha bila kuongea ni Dunia, hivyo ukiona mambo yanaenda sivyo unapaswa kuelewa ni mtihani unaokuimarisha na kukuvusha kwenda hatua nyingine. ๐
Si kila ambaye hauwasiliani naye Kwa sasa unapaswa kufuta namba yake, watu ndio rasilimali pekee isiyohitaji gharama yoyote ila tu uaminifu. (Network is a net-worth).