Mwamuzi wa kati, @JonesiaRukyaa ameteuliwa kuchezesha pambano la watani wa jadi, Januari 4, 2020 kati ya Simba dhidi ya Yanga, Uwanja wa Taifa.
Hongera sana, Nenda katuwakilishe vyema wanawake bila kupendelea timu yoyote.
Watu wengi wanaweza kuwa hawajui sababu kubwa iliyosababisha Chadema kunyanyaswa katika Mkoa wa Simiyu. Iwapo kuna mahali ambako CCM imeshaanza kujifia kabisa ni Simiyu. Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa chama hicho kilikosa wagombea kabisa katika maeneo mengi.
Nawatakia wafuasi wote, wanachama, viongozi waChadema na Wananchi wapenda mabadiliko katika Kanda (maalum) ya Serengeti Mwaka Mpya wenye heri na fanaka tele, tukijiandaa kuutekeleza wajibu wetu kwa wivu mkubwa sana, kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya taifa,
Serengeti kuelekea 2020
Katika salaam zetu hizi, tutatumia mwaka huu ulioisha
kutafakari na kisha kujielekeza kuangalia mwelekeo ujao.Hivyo tutajikita kuzungumzia mwaka 2020 tunaouendea,katika nyanja muhimuzinazotawala maishayetu,kisiasa,kiuchumi na kijamii,@Esther_Matiko1
tumeazimia, tunajiandaa, tunajipanga na tunajizatiti kufanya siasa za uhakika na za kisayansi katika mwaka ujao wa uchaguzi, kwa ajili ya kushinda idadi
kubwa ya Kata na Majimbo kati ya kata 425 na Majimbo 24 yanayounda Kanda yetu ya Serengeti.
Tunatarajia tunapoelekea mwaka 2020, kwenye uchaguzi mkuu, Jeshi la Polisi lisiendelee wala lisikubali kutumika kisiasa kukibeba chama ambacho wananchi wameshakichoka na wazi wanajiandaa kwenda kukipigia kura ya kukiondoa madarakani.
Na pale serikali inaposhindwa kesi dhidi ya wafugaji haipo tayari kurejesha fedha kwa wafugaji ili wanunue ng'ombe wengine.
Rejea kesi za Jimbo la Kisesa zilizoshinda kesi mahakama kuu Shinyanga tangu tarehe 23/3/2018.
M/kiti wa kanda ya Serengeti
Mhe @Esther_Matiko1 (MB)
na hii inatokana na ukweli kuwa maeneo ya kulishia mifugo
yanapungua huku kukiwa hakuna mkakati unaotekelezekawa makusudi kuondoa tatizo hilo. Mathalani kutenga eneo katika pori la akiba la Maswa kwa ajili ya malisho.
M/kiti wa Kanda ya Serengeti
Mhe @Esther_Matiko1 (MB)
Wafugaji wa Simiyu hawajaachwa salama na Serikali iliyoko madarakani. Benki yao kubwa, ambayo ni mifugo aina ya ng’ombe imeendelea kutikiswa. Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa malisho ya ng’ombe wao
M/kiti wa kanda ya Serengeti
Mhe @Esther_Matiko1 (MB)