It was a delight to welcome my friend, PM Keir Starmer at the Raj Bhavan in Mumbai. Being his first visit to India, it is surely a special occasion. The presence of the largest business delegation to India makes it even more special and illustrates the strong potential of India-UK ties.
@Keir_Starmer
2009 Wish generation ya 2 ndo ikaingia, Ikaja na mabadiriko ua ukweli..
.
Wish akaja na Engine option 2 1.8L 2ZR-FAE and 2.0L 3ZR-FAE Dual VVT-i..
.
Engine zote zikija na 7-speed Super CVT-i transmission. Hii Super CVT-i transmission ilisaidia kuongeza fuel economy kama kwa 15%..
IJUE Toyota Wish..
.
Hii ni compact Mini Passenger Van kutoka Toyota iliyoanza kutengenezwa mwaka 2003-2017..
.
Jina Wish limezaliwa kutokana na hitaji la watengenezaji ku meet wishes za wateja wengi kupitia hii gari..
Generation ya 1 ikianza [2000-06] coded XU20.
.
Generation ya 2 [2007-13] Coded XU40.
.
Generation ya 3 [2014-20] coded XU 50 na.
.
Genaration ya 4 2021 coded XU70.
.
Sasa kaa vizuri andaa popcorn scroll back hapo juu gonga RT sababu leo tutaenda Kumdadavua G 1 [XU20] Kipekee..
JIFUNZE Jinsi ya kutumia options za Gears Kwenye Gari Automatic.
.
Gari za AT zimekua rahisi sana kuendesha, watu wasiopenda manual wametokea kuzipenda sana na wanazifurahia.
.
Mtu akishapata Leseni tu Utasikia wanakwambia We ingia ukishaweka D ndo ushamaliza Dar Moro hii hapa.
Toyota Probox aka Box la Ki professor..
.
Hili jina linamaanisha Professional Box [Pro Box]..
.
Hii ni light commercial vehicle ambayo ilikua introduced sokoni katikati ya mwaka 2002..
.
Baada ya Muda imekuja kuwa gari pendwa sana hasa na wafanyabiashara hapa Tanzania..