Kuwa Daktari katika John's Hopkins hakunifanyi Kuwa Bora machoni pa Mungu kuliko Mtu ambaye hajapata Fursa ya Kupata Elimu Kama hiyo Lakini ambaye bado anafanya Kazi kwa Bidii.
Ben Carson.✍️
Kama Sasa
Tunaangalia Dhana Ya Ushindi Kwa Ujumla,
Tutatafuta Kwenye Vipengele hivi Vitatu (3);
1. Hasara Kubwa Ya Adui ni Kwenye Nguvu Ya Kimwili.
2. Kwenye Nguvu Ya Maadili.
3. Anapinga Wazi Kwa kupitia Uchunguzi Wa Nia Yake.
Sun Tzu, The Art Of War.✍️
Kwasasa Zimeundwa Kanuni Mbili Za Vita,
Kushambulia Na Kujilinda....!!
1. Uharifu Wa Nguvu Ya Adui.
2. Ushindi Wa Eneo.
3. Ulinzi Wa Eneo.
4. Ushindi Wa Baadhi Ya Vitu.
5. Ulinzi Wa Baadhi Ya Vitu.
Sun Tzu, The Art Of War.✍️
Usiende Usipokuwa Umeona Faida; Usitumie Askari Usipokuwa Kuna Kitu Unapata;
Usipigane Usipokuwa nafasi ni Muhimu.
Kama ni Faida Kwako,Fanya kwenda Mbele; Kama Sio,Kaa Hapo hapo Ulipo.
Hasira Kwa Muda inaweza kubadilika hadi Furaha;
Mateso yanaweza kufanikiwa kwa kuridhika.
Kama Sehemu ya Taarifa ya Siri imetangazwa kwa Mpelelezi Kabla Ya Muda Pevu,Kuiva (ilichotakiwa kutoka),
Lazima awekwe kwenye kifo pamoja na aliyemwambia iyo Siri.
Sun Tzu, The Art Of War.
Hivyo Kuangazwa na Uwazi kwa ujumla ni yule ambaye atatumia Akili ya Juu ya Wanajeshi kwa Lengo la Upelelezi na kwa kufanikiwa Matokeo Makubwa.
Wapelelezi ni Kitu Muhimu sana kwasababu kwao wanategemea Wanajeshi Uwezo wao kwenye mechi.
The Art Of War.
Hakuwa Sawa Kichwani hakuwa na Energy,
Hakukuwa na Counseling hakukuwa na Remedies,
Zaidi Ya Makala Zilizoandikwa na Mafeminist.
Dizasta vina_Hatia V.✍️
"Pesa Sio Furaha Ya Maisha Ila Ni Nyenzo Muhimu Maisha Kurahisisha,
So Ukileta Tamaa Uhai Unaweza Hatarisha,
Wazee Wa Kazi Maisha Yako Kuyafupisha.
Wakazi_Kanuni Za Hela.✍️