@kikomasta Wew boya MOSUL yenye square km 180 ilikombolewa na marekan pamoja na washirika washirika wake Kwa miezi 9,Gaza ni 364 square km na IDF wamebakiza mji mmoja wa Rafah wenye battalion 4, na tupo mwez wa 4 huu acha ushoga kaka fuatilia mambo
Israeli special forces disguised as doctors, nurses, cripples & patients stormed the Ibn Sina Hospital in Jenin (the West Bank) last night and liquidated Muhammad Jalamneh, a top commander of Hamas in the West Bank
2 other Hamas terrorists were killed too
@neneinno2000@Jambotv_ Kwa hiari ndio,sera ya trump ilikuwa ndo hyo kutopigana vta visvyo na maslah,wakakubaliana serikali ya afganstan na Taliban kushare madaraka ila ndo ivyo wanajeshi wa serikali ya afganstan wakaachia miji yote kizembe bila ata kupigana
@neneinno2000@Jambotv_ Marekani wamekaa miaka 20 wakamweka rais kibaraka wao,utasemaje wameshindwa? Serikali ya afganstan ilifel wenywe kujitetea wanajeshi wake wakakimbia makambini,ulitaka marakani iwasaidie wakat walipewa fedha na mafunzo yote,marekan kuondoka Afghanistan ilikuwa tayr toka trump
@george_haroun@denhope26@ayubu_madenge Iko ivi Kuna wayahudi na wazayuni,black Israel sio wazayuni ni wayahudi wa ethopia mbona simple tu,mchina ni mzayuni sio myahudi