@emabilly2001 mambo ya kucheat n kawaida sana sku hz mzee...boss alimla manzi mmoja kazin alafu akamtimua mwanetu mmoja anakula mke wa boss na full video akiwa anamrekodi na boss hajui
@Sativa255 hii ndo inasababisha vijana tuone siasa n ujinga tunaamua kuwekeza kwenye mambo yasiyo na msingi....binafs tangu lowasa alivyofanya imenibidi niachane kabisa na siasa yan kuliko kufollow account ya chama cha siasa bora nimfollow uncle t
@emabilly2001 swala la kuua sikubalian nao sema hawa mabos wa kichina kwa hapa bongo n wana roho mbayaaa kinoma mzee tena mbayaaa mbayaaa mbaaaaaaayaaaaaa mbaya sana waone tu kwenye picha
@JumaAyoo sijui siku hz kuna matatizo gan lakin hofu yangu n vizaz vya mbele vitashindwa kabisa kujenga hoja watatumia matusi kama nguzo muhimu ya kujenga hoja....unakuta kitu kina hoja nyingi sana na za maana lakin mtu anaamua kutukana na maneno ya kebehi
@Mwinshehe07 hii x hata nikimkuta mtu ana follower mmoja huwa tu namuheshimu.....unaweka kutukana IT humu ukajiona mjanja kisa unajiita mark zuberg ila kesho ukadakwa na kupakwa mafuta ya alizeti
@HildaNewton21 Okay naomba majina na number za hao police wema ambao wanatoa taarifa kwa chadema.
Alisikika kachero mmoja akizungumza kwa sauti ya chini
@kishoka_ hapo ukute aliyempa ukimw n wa 116 tena n baada ya kulewa kwa hyo alishindwa kunyoosha mkono kuchukua condom kwenye suruali chini ya kitanda POMBE MATAKO YAKO
@Ngattaboe99 kuna mwana hajarud kuwachek wazee wake kama miaka 10 hv sasa michongo yake ikaanza kwenda hovyo wadau wakamchana arud maskan kupata baraka kwa wazaz..m nikawauliza je kama mtu wazee walikata moto kitambo baraka yy atatoa wap? wakaishia kuniongeza bia tu