"Ni kweli #wao walipata #msingi kutoka kwa wazazi #wao (haki yao) sio sawa kuwachukia na kuzarau #kuta walizojenga kutoka kwenye #misingi hiyo...tafuta wa kumchukia au chukia #fikra zako. #sisi tunatafuta #misingi na wanatuelekeza wamejenga vipi #kuta zao"
#sisi&#wao
"#sisi tunapofeli ni apa, #wao sio wanaloga tu...leo nimegundua #wao pia wanapiga #kazi usiku na mchana na wana #nidhamu ya pesa sio kawaida...sasa wewe loga alafu lala pesa itakuja boss"
#sisi&#wao #maishayetu
Unajua #sisi ni wale ambao hatutaki kujua mali zao zikoje na ni kiasi gani...tunaamini katika kazi, juhudi, mchakato na zaidi kujifunza #wao walizipataje..#Mali ni maamuzi na matokeo ya #kaziyako#maishayetu#sisi&wao
"Sisi huwa hatuhitaji alarm/kengele tuamke kwenda kutafuta riziki ila ni majukumu na malengo ndio hutusukuma ukiacha matundu ya bati za nyumba na mifugo tunayo lala nayo kutuhakikishia kama kumekucha" #SISI#26life#Jacksofa#maishayetu
Media is a powerful weapon; it sheds light on issues that are in the dark. What are your thoughts on the current context and mainstream media?
Join our upcoming Twitter space as we explore this and more👉 https://t.co/lWPP5tlcDC
👇Introducing our key speakers👇
#ISHIHUMUDadaz&Kakaz
"Mwanamke/Mwanaume usie na hakika ya kufanya nae maisha (mke/mume) usimpe #historia ya familia yenu na msingi wa maisha yako...epuka fedheha zisizo za lazima apo baadae, #tumelelewatofauti"
"Ebu basi jitaidi kubehave (bro & sisy) ujue kuna bwana mdogo yupo shuleni anasema akiwa mkubwa anataka kuwa kama wewe...vipi utamruhusu kweli"
#belike#jiheshimu#savethecommunity
"Tunapotokea ndipo panatupa hamasa ya kufanya kazi na kutafuta kwa juhudi...hatusomi vitabu sana/kabisa ila historia ya familia zetu ndio maktaba kwetu"
#DREAMERS#kilahatuadua
#Mwakampya
(Umri,malengo, majukumu,historia..nk)
Kumbuka kila unapo sherekea #mwakampya basi mwaka mpya huja na hayo yote apo juu na mwaka hautaacha kuwa mpya kwasababu hujatimiza malengo yako...na hii ndio maana halisi ya #mudasiorafiki#HappyNewYear2022#lessonlearned