@BernardKavuli If Kenyans are stupid then you must be the leader of the crowd.. how could you not see the global impact of this young boy with more than 40m followers worldwide in kenya ๐ฐ๐ช
@MsigwaPeter Ulikua moja ya tunu kwa taifa vijana wanaopenda siasa walikua tayari kujifunza kutoka kwako Ila sasa unakoelekea utatafutiwa chumba mirembe walah ๐๐พ๐๐พ slow down chill hakukua na haja ya kua na haraka hivi youโre killing your own reputation kisa nini sasa ๐คท๐พโโ๏ธ
@denhope26@FeliusFesto@HusseinBashe Una akili mnato mdogo wangu๐ kwamba sisi hatuoni kwamba hakuna progress yoyote ya mradi? Embu tupe mfano wa kijana hata mmoja aliyetoboa kwenye mradi wa bbt.. Sijui mnafaidika vp kutetea ujinga aloo
@HildaNewton21 Boss anajinadi barabara zimetengenezwa apewe mitano tena huku mawakili wanambagaza barabara mbovu aya twende nalo tuu tuone mwisho ni wapi ๐๐พ