@vliandro_gerald Nimekiona ulichokisema,ile haikuwa mechi waungwana.....watu wanapatiana magoli "(kwa sauti ya Robert Matano kocha wa zamani Fountain gate)"
@PresenterNoah Kupona kwake kunategemea na ile "first aid" atakayopewa, aliyemfanyia first aid anapaswa kuwa very professional na within 24 hours anapaswa kufanyiwa major operation
@Shirazi293@PresenterNoah Kwani ukuta wa Argentina 2022 nani alikuwa top player?? Hapakuwa hata na beki mwenye UCl kati yao,ukitoa otam3ndi kidgo aliyepita City, huyu kocha ni tapeli period
@KariakooTama@Balyx_ Soka ni mchezo wa ajabu sana,sikuangalia mechi nimekuja online nakuta hype nyingi za Ivory Coast, kuzama YouTube highlights zinaonyesha Colombia kakosa clear chances 3 ndani ya dakika 30 za mwanzo
@DannyThePlanner@tzhirap@Roma_Mkatoliki Chelsea pia ilibeba mashabiki wengi sana 2005-2010 baada ya arsenal kulala usingizi wa mataji,ikachagizwa pia na uwepo prime Drogba,Essien, Kalou