@wekatuweke @George_Ambangil Unaongea uchoko mzee Madrid hatumii nguvu nyingi kumfunga barcelona ila barcelona ndio hutumia nguvu nyingi njoo UEFA kama unataka kucheza na madrid kiushindani hio BARC ndio Furaha Yenu kuifunga Real ila Real kuwafunga barc ni kama kumfunga mallorca ๐