Kijana yuko zake amepanga ma Sinza anazingatia engo ila akili zake anawaza siku moja aje achukue kiwanja chake chakuishi mitaa ya Goba kwa 8M-10M๐.
Hajui kiwanja Goba bila 50-100M hupati kitu.
Vijana tujifunze sana kufatilia mambo ya viwanja,MLANDIZI sio mbali nunueni mashamba.