@shibobo___ Hii ni plan tokea mwanzo...Zitto ndio mbunge wa kigoma alimwachia tu kwa muda ionekane kuna uchaguzi huru bongo kisha Zitto atachukua ubunge wake kwa kiini macho cha mahakama..
@og_outfits Tabora nilishudia matukio kama haya...sasa cjuwi ni uchawi..? Mama mmoja mkazi wa Goweko alijifungua mbwa pale hospitali ya mkoa Tabora kitete...pia ng'ombe alizaa tembo...mama mwingine pia alijifungua tikiti