We have entered the new year 2024 and with it all the dominion which belongs to Allah, Lord of all that exists. O Allah, I ask You for the goodness of this year, its victory, its help, its light, its blessings, and its guidance. I seek refuge in You from the evil that is in it and from the evil that follows it.Amin๐๐ผ
We missed the Kobbie goal graphic in the madness but Mainoo levelled it up and then HARRY MAGUIRE headed in to make it 5-4!
What is happening?! ๐คฏ
#MUFC || #UEL
Hotuba ya Rais Samia Suluhu katika mkutano wa Mataifa 20 Tajiri Duniani (G20) nchini Brazil, ambapo ametoa wito kwa mataifa tajiri duniani kutambua na kuzitumia fursa zilizopo barani Afrika kushiriki kutokomeza umasikini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaaga wananchi mara baada ya kumaliza mkutano wa kuhitimisha ziara yake katika uwanja wa Majimaji, Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma tarehe 28 Septemba, 2024.
Big thank you to Mr. Nuzulack Dausen, CEO of Nukta Africa, for his insightful session on data journalism, and Mr. Mbaraka Islam for sharing techniques to create impactful electoral stories. We are thrilled to have these experts guiding our 10 female online media journalists.
MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), kupitia Meneja wa Bandari Kigoma, imesema haihusiki na makusanyo ya malipo ya usafirishaji wa abiria na mizigo bandari za Kigoma ambazo zimelalamikiwa hivi karibuni.https://t.co/o5i0DHRzd0
Globally, 320 journalists were imprisoned as of 12/1/23, the second highest recorded since CPJ started collecting data in 1992.
The previous record was set in 2022.
Top jailers of journalists: China, Myanmar, Belarus, Russia, Vietnam, Israel, and Iran.
https://t.co/GTeGIRhA6K
Gazeti Raia Mwema la wiki hii ni kali, usikose kujua Mbowe na Lissu wamemalizana vipi. Makonda azidi kuwa mwiba mkali, pata undani wa anavyowasha moto bila kupoa. Wajue vigogo waliowekwa kikaangoni. Ni Raia Mwema pekee
Kijana aliyesoma Maua Seminary na akapata Division 1.7 huku akiwa na alama A tisa kati ya Masomo 10, A level akasoma Tambaza na Chuo akaenda UDSM. Akawa miongoni mwa waasisi wa asasi za vijana kama YUNA na TYVA kisha akaingia kwenye siasa. John Mnyika amefunga ndoa rasmi.
Raia Mwema wiki hii ni kali, usikose kujua Mbowe na Lissu wamemalizana vipi. Makonda azidi kuwa mwiba mkali, pata undani wa anavyowasha moto bila kupoa. Wajue vigogo waliowekwa kikaangoni. Ni Raia Mwema pekee
Nitajitahidi kupigania na kuwatakia mema watu; bila ya wao kujua na nitajitahidi wasijue. Mungu ndiye mlipaji na ili upate malipo stahiki haipaswi kujionyesha unasaidiaje kwa dhati ndugu, jamaa na marafiki au binadamu na viumbe wengine hata wanaokusaliti au kukudharau; Mwenyezi Mungu nisaidie ๐๐ผ
Mkuu Mkoa wa Iringa @pjserukamba amewasihi Wahariri wa Habari kuendelea kushirikiana na @TMDA kupitia ya kalamu na zao, kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na ubora na usalama wa bidhaa za Dawa na Vifaa Tiba zilizopo sokoni
@EditorsForums@MsdTanzania https://t.co/p6QCuS5JDy
๐๐ผ๐ป๐ท๐ผ๐๐ฟ, ๐ ๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐บ๐ฒ ๐น๐ฎ ๐ฃ๐ฟรฉ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ป๐๐ฒ!
President Emmanuel Macron of France welcomes Tanzanian President Samia Suluhu Hassan at the รlysรฉe Palace in Paris today on May 14, 2024.
The two leaders held bilateral talks and are expected to announce a new Paris Declaration on Franco-Tanzanian Relations with four areas of focus for enhanced cooperation, according to Tanzania's Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, January Makamba.
๐ท State House