Umetoka zako kuswali eid, Umeshakula zako biryani ngamia😋, unatoka zako na familia,Ndugu jamaa au Rafiki,kwa usafiri wowote ule fasta tu upo zako simba mtoto hall pale, full kiyoyozi, soft drinks ninii, kubwa zaidi unapata burudani ya nasheed live🤗 Eid hii Tangaa
#Fenc🌙♥️
Kuwaambia watu "wapunguze kutoa misaada coz binadamu hawana kumbukumbu" ni miongoni kwa kauli za hovyo kabisa kuwahi kusikika.
Ukipunguza ama ukiacha kutoa misaada ni ubahili wako tu coz kumbukumbu za uwasaidiao hazina mafungamano na lengo la kutoa misaada.
Hello,Labda tujikumbushe kwanini tunatoa misaada au kwanini tunasaidiana. Kwanza kabisa tunasaidiana ili tupate radhi za MOLA na pia tunasaidiana ili kutatuliana matatizo tulonayo.
NB:HATUTOI MISAADA ILI WATU WAKUMBUKE KUWA TULIWASAIDIA KUMBUKUMBU KWA MUNGU.
#Allah سبحانه وتعالى ameumba wanadamu wengi sana na kati yao akachagua baadhi yao (wachache) kuwa #ndugu zako kwa namna moja ama nyengine, hivyo wapende #ndugu zako kwani hawo ndio #mola aliokuchagulia.
#akhui#ikhwa
Congratulations #mama @samia_suluhu_hassan for your 1st #100 days as a #president of the UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ,we see the bright future in you ,we always pray for you that you always be the best in shaa Allah. @samia_suluhu_hassan #kaziiendelee#siku100zaraissamia
" I wish that the high spirits of Ramadan celebrations infuse your heart and soul with happiness and prosperity. Wishing a blessed Ramadan to you
Allahumma amiin.”
#Ramadanmubarak2021#Ramadan2021#Ramadan
This is a cool video from Boomplay. https://t.co/58BHd9S5vh
📍🔗
*Assalam alaykum .. Video ya Nasheed ya METAMANI sasa inapatikana katika BOOMPLAYMUSIC, please bofya link hii uweze kutazama(stream) au kudownload shukraan*
#PleaseShare😊🤝🏽😍
Just joined the 100 subscribers on YouTube club. VIRTUAL HIGH-FIVE! https://t.co/rmsvBu1lVl
We just have passed over 100 subscribers in YOUTUBE, if you have not yet subscribed to our channel please SUBSCRIBE NOW and enjoy our contents.
In shaa Allah soon tutaachia nasheed nyingine mpyaa🥰😊😊 so stay tuned..
Cha kufanya ni ku subscribe katika YouTube Channel yangu ( Mohamed Mbinda) ili uwe wa kwanza kuipata.. 🥰😍.. Thank youuu🤝🤝