@Tanganyikan@Makaveli_255 Na Inawezekana Kabisa, Unapoingia Jeberg Kuanzia Pale Tambo Airport Mpaka Mjini, Barabara Zao Zinakuonyesha Kabisa Sisi Bado Sana.
Kuna Mambo Ukiyataka Lazima Ukubali Bajeti ya Mwaka Huo Kwingine Kuwe Kama Paralyzed Kidogo Ili Resources Zielekezwe Hapo.
Nendeni @crdb branch ya lumumba mkachukue mikopo Huduma zake ni top notch π anakukopesha na anakushauri pesa zako uzitumie vipi ili upate faida ukifika lumumba usisite kumuulizia Miriam
Lakini Unaona Ni Sawa Kabisa Kwa Kilichotokea? Yaani Waliondaa Speech Na Waliopitia Wote Huoni Ukajanja Wao? Kwenye Jambo Kama Hili Wamemuingiza Mama Chaka, Unafikiri Ni Mangapi Pia Wanamdanganya?
Kumbe kuna Mchaga alienda UN miaka ya zamani kuomba uhuru kwa ajili ya Wachaga wawe wanajitegemea, kufika kule akakutana na Nyerere akamwambia naomba Uhuru kwa ajili ya Watanganyika wote na sio wachaga peke ake.
Ilibaki kidogo tu wachaga wawe na nchi yao π.
Tanzania qualify from the group stages for the first time in their history! All without ever winning an AFCON match. Kenyans will be cursing them, remembering 2019 when three points wasn't enough π