Zipo taarifa kuwa Klabu ya Simba imefuta shughuli yake ya kesho ya kutambulisha rasmi jezi na badala yake leo itatangaza jezi hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya jezi hiyo kuvuja na tayari ipo mitandaoni.
Wakuu wa Simba wanashangaa jezi hiyo imevuja vipi?
@mshambuliaji Upo kama mshauri kwa dhamana uliopewa naweza kuiita taranta wote tumeona ila maamuzi yapo TFF so tumia vizuri taranta yako kushauri bila kuwalisha jambo kwa hisia zenye mihemuko