Asante MUNGU hili gumu sana limepita.
Kesho narudi RASMI kuendelea na kazi ya kushughulika NA WAKOLONI WEUSI.
Haya magumu ninayopitia wao ndio chanzo kikuu-siwezi kuwaacha mpaka naenda KABURINI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Siku ya jana {March8}
Kipindi ambacho dunia nzima ilikuwa ikiifurahia siku ya WANAWAKE.....Dullah alikuwa akimfurahia mwanae wa pili.
Kipindi ambacho mlikuwa mkiwapa zawadi za hapa na pale wanawake.....Mimi nilipewa zawadi ya mtoto na MUNGU kupitia kwa Mke wangu❤️
Hatimae nimekuwa BABA kwa mara nyingine tena.
NOLAN yupo Duniani 🙏🏾
🗣️"DIZASTA VINA ni kina JOH sabini{70}
So WAKAZI kadhaa wa kitongoji mkija njooni MAKINI......naona vipepeo kwa bustani, wanaruka ila sioni wa kuflow kama mimi"
😅
BRO TO BRO
Kila kitu ni jukumu lako mwenyewe kama mwanaume. Hakuna anayekuja kukuokoa na hakuna anayekudai mafanikio. Dunia haijali hisia wala haikupi huruma inakupa matokeo ya juhudi zako
Ukiwa huna kitu ni kosa lako.
Ukiwa dhaifu ni kosa lako.
Ukiruhusu watu wakudharau ni kosa lako
Maisha yako yote yako mikononi mwako.
Ukikumbana na tatizo litatue.
Usikimbie.
Usilaumu.
Usilalamike.
Chukua maamuzi magumu jenga mazoea ya kujisimamia mwenyewe bila kusukumwa
Dear wafalme,
Kumsikiliza Dizasta Vina ni Afya:
-Jesusta (2018)
-The Verteller (2021)
-A father figure (2026)
-The wonderboy mixtape (2017)
Ana album 4, single & collabo kadhaa
Lakini anzia hapa.
@dizastavina
Napendezwa na jinsi familia ya POLEPOLE ilivyoamua kusimama kidete kupigania HAKI YA MPENDWA wao.
Kama familia zote zilizopoteza wapendwa wao kwa utekaji zingekuwa VOCAL kama hii ya Polepole hakika kuna mahali tungefika kama TAIFA.
TUTAKUWEPO🫵😎
Habari za leo? Naomba utusaidie kutoa taarifa huenda ndugu zake watapatikana. Huyu kijana ameanguka ghafla maeneo ya Kimara mwisho. Alikuwa amebeba deli la maandazi anauza. Tumemkimbiza kituo cha afya Kimara kujaribu kuokoa maisha yake, lakini haikuwezekana. Madaktari wamesema tayari alishapoteza maisha kabla ya kufikishwa kituoni. Tumejaribu kuangalia kama ana kitambulisho chochote lakini hana. Tunaomba usaidie kupost ili ndugu zake wapatikane au kwa yeyote anayemfahamu afike kituo cha afya Kimara.!
Tunaambiwa maarifa kibao yamefichwa katika vitabu, na kwa bahati mbaya wengi wetu hatuna kipaji cha usomaji.
Ila nakuhakikishia kuna Maarifa mengi pia yanapatikana katika Muziki wa DIZASTA VINA
Ushindwe wewe tuu kuyaokota 👊🏾
NB: "Hizi ngumu hawaDance wakina Angel Nyigu"
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
Thank you for being with me all this time — it’s been a wonderful journey full of all kinds of joy and excitement. You are the best and deserve nothing but the best! Thank you, I love you. ❤️
Kuna mitego iko hivi kule vijiweni na kwenye mikusanyiko madracula wa uchebe wametuma wadaka news wao wajue wapi pa kuzimisha epuka Sana mijadala kama WALE NI WATZ AU SIO WATZ waliouwawa ni binadamu haijalishi wa wapi ukiona mtu anachochea hii mada mruke,
Kwahiyo unasema kabisa haukua online na hapo ulilike?
Acha kuona watu wajinga wajinga hutapata ata sh mia humu KAKA
Simu unayo na hujapata janga lolote kumbafuuuuu
Mwanajeshi pekee wa kumuamini ni CAPTEIN TESHA TUU.
Aliweza kusimama upande wa watanzania Zama za GIZA na kuongea mambo yaliyoponya nyoyo zetu. Huyo pekee ndio tunaweza kumsikiliza kama watanzania kwasasa.
INTERNET ikirudi kuna baadhi ya AKAUNTI hazitapost chochote,zitakuwa KIMYAA.
Hao ni baadhi ya WATANZANIA wenzetu waliopoteza UHAI wao wakipambania UHURU wa ARDHI yao.
R.I.P wapambanaji siku zote tutawakumbuka.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭