Kampuni ya Sightful imezindua Kumpyuta ya Spacetop G1 - laptop ya kwanza duniani isiyo na kioo, inayotumia miwani ya Augmented Reality (AR) kuonesha skrini ya inchi 100 hewani!
Spacetop G1 inakuja na mfumo maalum unaoitwa SpaceOS, na inaendeshwa na prosesa yenye nguvu ya Qualcomm Snapdragon QCS8550, inayotumika kwenye simu za Oppo A11s, Realme C15 na etc.
Badala ya kioo cha kawaida, kifaa hiki kinakuja na miwani ya AR yenye teknolojia ya hali ya juu,
unavaa miwani hiyo na kuona desktop yako yote hewani, ikiwa ni ya binafsi na kubwa kuliko laptop yoyote ya kawaida.
Spacetop G1 inatarajiwa kuanza kusambazwa mwezi Oktoba kwa bei ya takriban $ 1,700.
Angalia inavyofanya kazi..
Video kwa Comments 👇
Wakuu haya mashati kuna mnaigeria anauza 35k sawa sawa na 58k ya bongo
Mimi nakuuzia
13500 usafiri hauzidi 10k kwa pamoja mkiagiza
Na ni mazuri karibunii
🤌
VIDEO:
Mbunge wa jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi kuja na taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaondelea kati ya klabu ya Simba na Yanga.
Musukuma ametoa kauli hiyo Jumatano Mei 7, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Amesema, “Mhe. Waziri nilikuona kutokana na mgogoro uliopo katika timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaaa! mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, ninatanguliza maneno hayo yote ili wajue nitashika shilingi leo, mpira wa Simba na Yanga kwenye nchi hii ndiyo burudani pekee iliyobaki kwa watu wote sasa mnatambua kabisa ipo migogoro lakini hata kwenye taarifa yako Mhe. Waziri sijaona".
Tofauti Ya Mahusiano Duniani Kati Ya Italians, Americans, French vs WaTanzania”
Shuka Na Uzi ⤵️🧵
Mahusiano ya Waitaliano🇮🇹:
Siku ya 1 = Sex
Siku ya 2 = Sex tena.
Mahusiano ya Wamarekani🇺🇲:
Siku ya 1 = Chakula cha mchana
Siku ya 2 = Chakula cha jioni na hugs.
Siku ya 3 = Sex
Siku ya 4 = Sex again.⬇️⬇️
Kumbe mimi niko nyuma sana aisee! Haya ndio mambo yanafanyika kwenye house party??
Hii nchi inamambo mengi sana!
Sasa wajuzi wa haya mabata, nielewesheni hii "free" 👅 — unajilia yeyote tu ndani humo au kuna kanuni?
Mbona haya mambo ni mapya kabisa masikioni mwangu??
HIVI NDIVYO ALIKO DANGOTE ALIVYO KUWA TAJIRI.
-
Dangote ni tajiri wa pesa masiki wa mapenzi ameachika mara mbili na wake wa ndoa amedhalilishwa mara tatu na michepuko, leo acha nikujuze mchache.
Dangote alianza biashara kwa mtaji wa shilingi million 7 za kitanzani ambazo alipewa mkopo na mjomba wake
Story kamili shuka na uzi upate funzo🧵⤵️
Wasaalam. Jamani baba huyu Yuko wapi hivi sasa, nani anajua? Ustawi wa Jamii tunahitaji kuonana naye. Mwenye namba yake anipe DM au anitumie kwenye 0765345777.
Mitihani ya mapenzi inasumbua kote kote. Wanawake na Wanaume wote wahanga na mbaya zaidi, watoto. Tuendelee kushirikiana kusaidiana kukabiliana na hizi Hali.
@maendeleoyajami tufuatilie kupitia timu zetu za ustawi wa jamii kote nchini. Wanaume nao ni wanufaika wa huduma za Dawati la Jinsia. ✍🏻
MSANII WA BONGO FLEVA ALIYEPEWA KESI YA KUBAKA.
.
Leo ni TBT ngoja niwa kumbushe story moja ilikuwa Mwaka 2004/2005 kama kumbukumbu zangu ziko sawa msanii wa Bongo Fleva aliachia ngoma iliyogeuka kuwa ngoma ya Taifa kila mtaa uliimba hiyo nyimbo, hata leo ikipigwa hiyo ngoma lazima uinuke ucheze
Huyo Jamaa aliamua kuacha kazi na ku deal na muziki kama full time job(mchizi alianza kutumia unga zamani sana) akiwa Club Moja iliyochangamka inayowakutanisha watoto wa Masaki,Kinondoni,Mikocheni,Upanga na Msasani binti mmoja kwa jina la Vero(sio jina lake halisi) alizimika na Msanii huyo, huyu binti alikuwa form 2 kipindi hicho akiwa anasoma shule ya sekondari ya kishua kidogo ile wanayovaa nguo za rangi ya damu ya mzee chini na juu shati zao nyeupe ila kama chafu(waliamua tu kujitofautisha na watoto wa umbwa 😀)
Turudi kwenye kisa hasa cha story👇 Shuka Na Uzi