Viwanja vya Nyankumbu, Geita Mjini vimeongea! Zaidi ya TZS 2,559,000 zimepatikana kupitia #ToneTone. MaCCM hayataki kuamini kwamba chama cha siasa ambacho ni mali ya umma Tanzania ni CHADEMA. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Nimefurahi tena kumbe mnajua kuna future katika maisha. Hilo jambo linanipa faraja na amani kubwa sana. Imagine, umemlea Waziri Rajabu, amekua Katibu wa Rais, na sasa unam-expose kwenye sectors. Moyo mzuri sana. Sasa fikiria kuna mzazi anamtafuta mtoto wake ili amzike si kum-expose hata kijiweni , bali kumzika kaburini, na hamuoni. Mnafikiri haya mambo yatapita kawaida? Future zenu ni ngumu sana. Muda wa Mwenyezi Mungu utaongea kwa sauti kubwa .” Watu wote wanapenda better future pia , wawe tu exposed kwenye haki na utu wala sio sector na utajiri.
Moja kati ya Usajili bora kuwahi kufanywa na SIMBA katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni ni huu wa Ahmed Ally. Mwamba amejua kuweka tabasamu sana kwenye nyuso za mashabiki wa SIMBA hasa kipindi hichi ambacho timu haiko vizuri. Jamaa anaifanya kazi yake vizuri mnoo.