JINSI YA KUJIKINGA NA JINI MAHABA
● Umechoka kuota ndoto za kulala na mwanaume au mwanamke usiyemjua?
● Hizi ni baadhi ya imani za asili zinazotumika kujikinga:
● Chukua makaa na kitambaa cheupe cha pamba.
● Funga lile kaa ndani ya kitambaa hicho.
● Kisha kiweke karibu na sehemu zako za siri unapokwenda kulala.
● Fanya hivi kwa siku 3 mfululizo.