Kwani wale kule space wanasemaga serikali haifanyi lolote wanakuwa wanamaanishaga nini? Mbona inafanya sana haya mambo au hawaoni?
Sasa kwa mambo haya wanategemea kweli 2025 watu wawapigie kura kwa sababu yq porojo zao? Haya mambo ndo yanafanyaga kuone mmeibiwa kura 😁😁