1990, 1991, 1992, 1993, 1994 ,1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003, 2004, 2005, 2006, 2007
Come out and Identify yourselves with your beautiful pic pls let u pleaseโค. don't air me!!!!!!!!
@raphyrodrick Kabla hajaenda huko ataenda Pale Lupaso kuzuru kaburi la Hayati Benjamin William Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
@raphyrodrick Ndiyo Hivyo, Hata nikiwa Sekondari kipindi hicho Mzee akijua tu nimepata adhabu anaagiza niongezewe na nikirudi home kichapo kinaendelea ๐
@raphyrodrick Oya nakumbuka tukiwa Darasa la Saba tulijifanya Kugoma, Kwanza Tulikuwa viboko vitano kutoka kwa Mwalimu Mkuu, Kwa kuwa hatukushukuru akarudia tena vitano๐ ๐ Baada ya hapo Walimu wengine 15 kila mmoja alituchapa viboko Vitatu๐ Mbaya zaidi narudi home Mzee naye Akaniongezea ๐ ๐