Meet Simon Peter Rugera, our keynote speaker at the 38th MeLSAT Scientific Conference 2025 in Mwanza!
He is a Senior Lecturer & Head of Medical Laboratory Science at MUST, Uganda, with 30+ years of experience in teaching, research, and laboratory leadership.
We are honored to welcome The Scientific Group as a valued sponsor and partner of the 38th MeLSAT Scientific Conference 2025 in Mwanza.
Their commitment and support play a vital role in advancing laboratory medicine and strengthening healthcare systems
We’re excited to welcome Crown Healthcare on board as a sponsor and exhibitor at the 38th MeLSAT Scientific Conference, Mwanza.
Together, we’re driving innovation and strengthening the future of medical laboratory science in Tanzania and beyond
Rais wa MeLSAT, Ndugu Yahya R. Mnung’a, Azuru Namibia kwa Mualiko Maalum wa Chama cha Maabara cha Namibia (NAMLS)
Pia amefanukiwa kuwasilisha mada kuhusu MeLSAT na utendaji kazi wake pia Umuhimu wa vyama vya kitaaluma kushirikiana na serikali katika utekelezaji wa majukumu yake
Matukio katika picha kwenye Mafunzo ya “Matumizi ya Data za Maabara” (Utilization of Laboratory Data) yanaendelea Jijini
Mwanza kuanzia Tarehe 10/02/2024, yanayoratibiwa na Chama cha Wataalamu wa Maabara Nchini (MeLSAT)
Tumepokea maoni ya washiriki wengi kutaka mafunzo haya yafanyike mwezi February, Uongozi wa MeLSAT umeridhia mafunzo haya yafanyike tarehe 10-14 February 2025.
NB: kumbuka kujisajili mapema na barua ya mwaliko utaipata baada ya kujisajili kupitia link iliyopo kwenye tangazo
Rais wa MeLSAT Ndugu Yahya Mnung’a kwenye picha ya Pamoja na baadhi ya Viongozi waandamizi waliohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Mawaziri wa Afya Barani Afrika (International Health Ministerial Summit) uliomalizika leo Disemba 5, 2024 Kigali, Rwanda.
MeLSAT ilifanya kikao cha NEC katika ukumbi wa Mikutano uliopo Nashera Hote Dodoma, Oktoba 18.
Kikao kilijumuisha kuwaaapisha viongozi wapya na kuwapa semina elekezi kwa mujibu wa katiba ya chama ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
MeLSAT inaungana na Watanzania wote kusherehekea Kumbukumbu ya Miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tutaendelea kuenzi mchango wake mkubwa katika kujenga taifa lenye Amani, Umoja na Mshikamo.