Madoa, harufu na uchafu havipaswi kukuvunja moyo. Ukiwa na Mo Protector, una msaada wa kukabiliana na changamoto hizo za siku ya kufua! Mo Protector ipo kukusaidia kushughulikia uchafu na kurudisha usafi kwenye nguo!
#TunagusaMaishaYako#MeTLGroup#Tanzania#MoProtector
Kuhitimu unaweza mara moja, kuoa unaweza mara moja, lakini kuishabikia Simba? Hiyo ni kazi ya maisha yote! ππ¦β€οΈ
Kila mtu ana hatua zake muhimu maishani, lakini kwa shabiki wa Simba,
#MeTLGroup#Tanzania#Simba#MoCola
Kuna siku mwili unahitaji tu mlo mzuri wa kukurudisha kwenye mood! Ukiwa na MO Spaghetti, tengeneza sahani yako unavyoipenda, ongeza mchuzi wako pendwa na ufurahie ladha inayokufanya utake kijiko kingine tena na tena.
#MeTLGroup#MOSpaghetti#TambiZaMO
MO Protector iwe sehemu ya maandalizi yako ya kufua na kutunza usafi wa nguo nyumbani. Chukua pakiti yako kwenye duka lililo karibu nawe na uwe tayari kushughulikia madoa ya kila siku.
#MoProtector#METLGroup
Kama unapenda shave safi na nadhifu, hakikisha Dorco ipo kwenye grooming kit yako. Blades zake zimetengenezwa kwa matumizi ya shaving na zinafaa kuwa sehemu ya routine yako. Nunua pack yako leo na uwe tayari kila unapohitaji kujipanga.
#MeTLGroup#DorcoBlades
Simba Power Batteries iwe tayari kusaidia vifaa vyako vinavyotumia betri wakati wa game night, movie time au matumizi mengine ya kila siku. Kwa nguvu inayoaminika tumia Mo Simba Power.
#MoSimbaPower#MeTLGroup
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role.
#MeTLGroup#MakeYourMove#RegisterNow
Gawana majukumu, lakini usisahau MO Super Wash! π Ukiwa na Super Wash tayari nyumbani, kila mmoja anaweza kuingia kazini wakati wa usafi. Tafuta mche wako kwenye maduka yaliyo karibu nawe na nunua leo kwa matumizi ya familia nzima.
#MoSuperWash#TunagusaMaishaYako #MeTLGroup
Nguo zako zinastahili usafi unaoonekana. Chagua MO Protector Detergent kwa kufua nguo za familia na kushughulikia uchafu wa matumizi ya kila siku. Nunua pakiti yako leo, iweke nyumbani na ufanye siku ya kufua iwe rahisi zaidi.
#TunagusaMaishaYako#MeTLGroup#MoProtector
Ukianza kusikia, βjirani, umepika nini leo?β ujue harufu tayari imefanya kazi yake. Andaa mapishi yako ya vitafunwa na unga bora wa MO Safi.
#MeTLGroup#MoSafi#UngaSafi
Kama unatafuta ajira ya ufundi stadi, Make your Move itakusaidia kutafuta kwa urahisi.
Fuata hatua hizi rahisi kujiunga nasi, ili kuweza kukuunganisha na muajiri. Itakusaidia kukuongoza kupata ajira.
#MeTLGroup#MYM
Kila mapishi mazuri yanaanza na ingredients unazozamini. Chagua Yara Pure Sunflower Oil kwa matumizi yako ya kila siku jikoni, iwe ni kukaanga, kupika au kuandaa vyakula mbalimbali vya familia. Nunua Yara leo na uiweke tayari kwa kila recipe yako.
#MeTLGroup#YaraOil#CookingOil
Ukienda kuangalia mpira na marafiki, usisahau kuingia na MO Cola baridi. Ladha nzuri inaendana na moments nzuri za football. Tafuta MO Cola 400ml, chukua yako kwa TSh 500 kama ilivyo kwenye promotion na shangilia kwa ladha.
#MeTLGroup#TunagusaMaishaYako#MoCola
A lot happens across MeTL Group. Catch up with it in the Quarter 3 edition of Discover HR.
Watch the video for the people, milestones, and moments that shaped the quarter.
#DiscoverHR#Quarter3#InsideMeTL#MeTLGroup
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role.
#MeTLGroup#HotJobs#MakeYourMove
METL Group extends its heartfelt condolences to H.E. President Samia Suluhu Hassan and the entire family following the passing of Hafidh Ameir.
May his soul rest in eternal peace.
If you are looking for a job in one of these roles, don't miss your chance, register on the 'Make Your Move' website and wait for the HR team to contact you if you are eligible for the role.
#MeTLGroup#MakeYourMove#HotJobs#ApplyNow
Ndoto kubwa hazianzi kwa kuwa na majibu yote; zinaanza kwa kuandika wazo la kwanza kwenye ukurasa mmoja. Mpe mtoto wako nafasi ya kujifunza, kujaribu na kujenga ujasiri kupitia MO Exercise Books. Muandalie kesho yake leo kwa vifaa vinavyomsaidia katika kila hatua ya masomo.