Muziki ndio kazi yangu ila siwezi kufanya kitu kikubwa bila sapoti yenu
Follow me MediStar official (all social media)
Link chek my song: https://t.co/U6jOubdCrT
Nimeamua kumsapoti huyu kijana katika muziki wake na wewe naomba umsapoti kadri uwezavyo. Wimbo wake mpya unaitwa NITUNZIE kamshikisha Chance B, ni MediStar.
Link: https://t.co/U6jOubdCrT
#M28
https://t.co/cVKvnJ2K6k
#reporti from MvanoMtangazaji
naitwa MATENDO EBU'ELA FILS, jina la kuzaliwa ila najulikana kwa jina la MEDI...ni jina lililotoka kwenye jina langu la kuzaliwa M:matendo;E:ebu'ela;D:deleo;I:ishimwangaza jina linalo vuma kwa sasa ni MEDISTAR Official
Bonyeza hapa https://t.co/U6jOubdCrT