@CitImmCanada Yaani waziri mzima aliyeteuliwa na rais na kupitishwa na bunge afungua kinywa chake na kusema uongo na hata hakupepesa, mwanamume ovyooo jamani!!
@Osama_otero Don't forget the ones who radicalize youth to kill in the name of god, this was a cult and not a church there's a big difference between the two
@njambifever Nakubaliana na wewe dada, ila katika desturi na mila za waafrika wengi utumizi wa tishu baada ya haja uliletwa na wakoloni eti ulikuwa ustaarabu!
@evenmaina Kama Hawa viongozi wawili Ruto na Gachagua wangekuwa ni wakristo kweli na sio kwa maneno bali pia kwa matendo , na wangekuwa wanathamini dini na uhusiano wao na Mungu hawangethubutu kusujudia Mungu mwingine
@ggkirigi@evenmaina @Kecheii001 God is not the same, Christians and Muslims Do Not worship the same God for the simple fact that Muslims do not believe that Jesus is the son of God.