Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako.
Good morning🙏
Don’t forget to get a copy of my son Eric’s book, “UNDER SIEGE,” which is breaking records everywhere. It’s a phenomenal book, that’s a must read for everyone—Congratulations Eric, you deserve it!!! https://t.co/na0jBJ1nxp
Fahamu hii ni mikoa iliyoongoza kwa ajira, Mikoa hii inatufundisha kuwa kwa mipango thabiti, elimu bora, na fursa za kazi, maendeleo yanawezekana. Kila ajira ni hatua ya kujitegemea, kustawi binafsi, na kuchangia ustawi wa jamii.
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi#siasanimaendeleo
Ni mara ngapi ukinunua Bidhaa Huwa Unasoma Ingredients zilizopo ndani? Je Huwa unaelewa maana yake.?
Ukweli ni kwamba sio Kila mmoja anaweza kuelewa kinachoandikwa, na hivyo basi Tukitaka Kuhakikisha uimara wa afya bora Kwa wananchi tunahitaji alama rahisi za lishe (#FOPL) kwenye bidhaa ili kila mtumiaji aelewe kwa urahisi.
Hii itatusaidia kuepuka vyakula vyenye sukari, chumvi, na mafuta mabaya kama #TransFats.
#TransFatFreeTz #TransFatFreeEAC @TawlaTZ
𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: CAF Champions League Round of 32 fixtures are set! 🚨🌍
• Remo Stars 🇳🇬 x 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
• Aigle Noir 🇧🇮 x 🇪🇬 Al Ahly
• Silver Strikers 🇲🇼 x 🇹🇿 Yanga
• Stade d’Abidjan 🇨🇮 x 🇦🇴 Petro de Luanda
• Horoya 🇬🇳 x 🇲🇦 AS FAR
• Nsingizini Hotspurs 🇸🇿 x 🇹🇿 Simba SC
• Rahimo 🇧🇫 x 🇹🇳 Espérance de Tunis
• Black Bulls 🇲🇿 x 🇳🇬 Rivers United
• Police FC 🇰🇪 x 🇸🇩 Al Hilal
• Vipers 🇺🇬 x 🇿🇲 Power Dynamos
• Colombe 🇨🇲 x 🇩🇿 MC Alger
• FC Nouadhibou 🇲🇷 x 🇲🇱 Stade Malien
• Al Ahli Tripoli 🇱🇾 x 🇲🇦 RS Berkane
• US Monastir 🇹🇳 x 🇩🇿 JS Kabylie
⏳ Two still pending:
• St Eloi Lupopo 🇨🇩 / Al Merriekh 🇸🇩 x 🇿🇦 Orlando Pirates
• Ethiopian Insurance 🇪🇹 / APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬 Pyramids
📅 First Leg: Oct 17-19
📅 Second Leg: Oct 24-26
Who’s making the group stage? Drop your predictions! 🧐
#CAFCLwithMicky • #TotalEnergiesCAFCL
Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako.
Good morning🙏
Tujikumbushe episode maalum kuhusu Siasa , Mhe. Peter Msigwa ni kiongozi mwenye uthubutu na msimamo thabiti . Safari yake inaonyesha kuwa uongozi wa kweli ni wito wa moyo na kujitoa kwa taifa .Tazama kupitia YouTube https://t.co/ie5L2eIMS4
#SiasaZetu#SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
Popote usomapo hii Ndugu, Nakutakia siku njema iliyojaa mafanikio kwa ajili yako na familia yako. Ikawe ni mwanzo mzuri wa mambo mazuri mbele yako.
Good morning🙏
Hii ndio Weekend Ya Familia jijini Arusha.
🗓️ Jumamosi hii - Tarehe 09.08.2025
📍 General Tyre Ground, Njiro - Arusha
Njoo wewe na familia Yako tufurahie siku maalumu.
👉 Kuna michezo ya watoto, kuchora na burudani mbalimbali
👉 Wazazi tutachoma nyama, huku ukishibishwa na muziki wa nguvu
🎟️ Wahi tiketi zako sasa 👉 Lipa namba: 15647533 (Mixx by Yas)
Usikose!! 🔥 #NyamaChomaFestival #FamilyFun @NyamaChomaFest
Baada ya Mange Kimambi kutangaza maandamano ya Taifa huko Instagram.
Hizi ndio zilikuwa comments za wananchi wa Tanzania Mainland 😄 Soma harafu acha comment yako.
Fungua Uzi 🧵⤵️