@Advmakuri@maestrowafact Kak kwa sas iv unawez ucle mke wa mtu na watu wakamla wakoo vile vile la umhmu kam unajua n mke wa mtu kaush au km kakwambia n mke wa mtu achan nae
@Excess300 Unajua boy wanawake weng wajuajii Alf wanauchokoz san n manen Yule dem naiman alimtukan Msela ile we msenge nd maan jamaaa ajaaanz kumpanikiaa kuwa unaniit mim msenge y
@Excess300 Alf m enyew naendshag bolt one time huwaga tunapunguza safar ili kubalance commission ya bolt maan n kubwa ila maderev wote watpunguz safar ila atakufikish sehem yako halisi unayoenda kwa gharama zile zile za mwanzo sas pale dem Yule alvyosem ooh tukifik ntkulipa iyo iyo 4000