Usije ukaungana na watu wanaokuaminisha Kwamba kuna chama cha siasa๐น๐ฟ ni kibaya,
Ukweli ni kwamba hakuna chama kibaya, ubaya upo kwa watu ambao wanatumia mwamvuli wa chama husika kufanya ubaya wao.
๐น๐ฟicon.
@nikkwapili 2024
Core genius -J Nanauka
The richest man in babylon -G clason
Eat thay Frog -B Tracy
Nguvu ya ndoto -A Massay
Bible -old testament
48 Laws of power -R Greene
@heisbixen Siku nyingine Muwe mnauliza kabla ya kusema watu wa ongo, haya kesho nenden ubungo stand ya zaman karb na ofisi za kimbinyiko ulizien Mgaya used furniture.. ndio uyo na sio tapeli. Shauri lenu
Kuna miradi Mingi ambayo ni very priceless lakini ina matokeo makubwa katika kutatua changamoto zetu ๐น๐ฟ, mfano halisi ni huu mradi wa uvunaji maji ya mvua.
Ni mradi ambao utekelezaji wake unaweza anzia ngazi ya kaya, kijiji,kitongoji, had serikali kuu kwa urahisi kabisa.
๐น๐ฟicon.
Biashara na ujasiliamali ni vitu vinavyohitaji sana muamko wa muhusika mwenyewe kutoka ndani, ushauri kwa washauri wa haya masuala, kabla hujamshauri mtu biashara ya kufanya, tamani kwanza kusikia sauti yake ya ndani
๐น๐ฟicon