Kuna ukweli mmoja ambao haujawahi kubadilika.
Ama pesa zitakufanyia kazi…
Au wewe utazitumikia pesa maisha yako yote.
Hakuna njia ya tatu.
Na jambo la kuvutia ni kwamba, uamuzi huo haufanywi mara moja.
Unaufanya kila siku kupitia maamuzi yako ya kifedha, tabia zako, na namna unavyotumia muda na fedha zako.
Kisha, muda ndio hutoa hukumu.
1. Omba — lakini fanya kazi.
2. Amini — lakini jitume.
3. Subiri — lakini usilale.
4. Vumilia — lakini usiache.
5. Mungu hubariki wanaoendelea.
Good Morning
USHURU WA MPUNGA NA MCHELE KATIKA WILAYA YA KILOSA.
Kutoa Gunia la mpunga shambani kulileta mashineni/godauni njiani kuna Geti la ushauru, garama yake ni 2000 kwa gunia,
Ukikoboa mchele kutoka mashineni kwenda Sokoni nje ya wilaya ushuru ni 3000 kwa gunia la kilo 100.
Kwahiyo Jumla ushuru wa serikali kwa gunia moja ni wastani wa shilingi 5000.
Wakulima mlio wilaya na mikoa mingine, huko garama za ushuru wa serikali zikoje?
Ee Mungu, asante kwa hatua ulizonisaidia kufikia.
Nitie nguvu niendelee pale hamasa inapopungua.
Nipe nidhamu kuliko hisia za muda, nishinde vishawishi, nikumbuke kusudi langu, na nibaki katika njia njema. Niongoze hadi ukamilishe kazi njema uliyoanza ndani yangu.
Amina.🙏🏼