Accounts under 20k, β ππ§‘
Let us help you grow.π₯π₯π₯π₯
Say Hi π
Follow those in the comments ππ―π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Watu wa kuenda church waende, wa kulala hadi saa sita walale, wa kuenda Sunday family outings waende, wa kuenda kula nyama na beer waende, wa kucuddle all day na wapoa wao wacuddle na sisi wa kufarm all day tubaki huku.
Happy Sunday famπ€
Kuna hii stage ya maisha unafikanga unajipata huna nguvu ya arguments mtu akikwambia 2 + 2 = 5 unamwangalia tu kwa macho unatabasamu alafu unamwambia kabisa tena iko na point tano juu.
βHiyo ndio inaitwa protecting your peace of mind at this point my mental health is more important than your ignorance wewe shinda ukifikiria uko sawa mimi acha nishughulikie mambo yangu kwa upole.