Nimefarijika kwa MO kurejea nyumbani akiwa salama. Asanteni watu wote walioshiriki katika sala na dua wakati akiwa kizuizini mikononi mwa watesi wake. @moodewji
Ukweli katika maisha ni huu, kwamba MUNGU hakuachi. Amini katika UWEZO na UKUU wake. Ujapopita katika changamoto zozote katika MAISHA, hata wale wa karibu nawe wakikuacha, Yeye ni AMINI na KWELI, HATAKUACHA, atakupigania, na atakufanya HERI kwa ajili ya UTUKUFU wake. #AMINIDAIMA