@Tsinghua_Uni Ohhh mostly people here in Africa at that time colonialism take place.they are takes our goods things from us likes gold and given our grandfather clothes 😝rings.
Ndio wanamiliki watu binafsi,ila Kwa shehe sijawai kusikia kama ana msikiti. Nilichojifunza Kwa wenzetu ni kuwa tajili anajenga msikiti halafu anamwachia shehe angoze
Genuine question here, Hivi kuna Sheikh ambae ana Msikiti wake?
Yani kama hivi ilivyo kwetu huku Wakristo.Kanisa kwa Mch Crispine Kiondocha. Kwa mchungaji Ngusa Kinamhala.
Hata huko ndugu zetu Waislam kuna Misikiti ya hivi? 🤔
Kwanza tafuta Nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela…… na katika kupitia hatua hizi lazima ukubali kupitia maumivu ya mchakato wa lazima “~Ruge Mutahaba
Masters/teacher