Kama unajua hautakuwa na nauli ya kwenda kumsalimia mpenzi wako, basi tafuta mwanaume aliye karibu na wewe.
Kuna wanaume kila mahali, na wengine uko nao jirani, Acha kusumbua wanaume na shida zako za kifedha.
Achana na mahusiano ya mbali kama hauwezi kumudu mambo ya msingi.
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.
Tumekaa ndani tumepata muda wa kufanya tafakuri, ukiona tumeandika kitu we juu tumeandika ukweli.
Hili Taifa ni urithi wetu, ndio tutaachia watoto wetu.