Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa CEO wetu @evarist_chahali chahali hapo jana tulipata mlo wa mchana huko Mwanza na watoto hawa wazuri. Shukrani kwa @official_calfiolah_black kwa kufanikisha shughuli hii muhimu. Mungu akubariki sana
https://t.co/quwtTQ3z2D
Katika moja ya shughuli za maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwa mwasisi wa taasisi yetu @evarist_chahali hapo Desemba 9, @evarist_chahali_foundation inaahidi kuchangia shilingi laki 5 (Tsh 500,000/=) kwa @professorjayfoundation
https://t.co/83UOv3TeIe
Jana Desemba 9 katika maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya CEO wetu @chahali tulitoa zawadi kidogo kwa watoto hawa wa Zanzibar kwa kuwapatia bidhaa kidogo za kuwasaidia.
https://t.co/ziDtBIvvN5
Leo tupo Zanzibar, tumetoa msaada kadri ya uwezo wetu kwa kituo kimoja ya yatima. Wahusika wakituruhusu kuweka picha, tutawashirikisha nanyi kwa picha za tukio.
Tanzania: tension in Loliondo area as troops move in to evict about 70k Maasai pastoralists to make room for trophy hunting and elite tourism https://t.co/VlSNMaIt29
๐ท Meghan Markle was pictured at the Buckingham Palace window in her first appearance with the Royal family since the couple formally resigned from their duties
https://t.co/aFZTMtIlxt
When a toxic parent has a long history of causing stress, anxiety and pain through abusive behaviour and manipulative games, cutting them out is often the only answer. Meghan doesnโt owe Thomas Markle a damn thing.
My latest @YahooNewsUK column:
https://t.co/2kbj43z0oN
Dear Meghan,
Keep your head up.
While visiting racist in-laws,
Keep your head up.
If any in-law fakes public kindness,
Keep your head up.
If racist co-sister-in-law uses white tears again,
Keep your head up.
Racists should hide in shame, not you.
Keep their heads up, always!
Wheelchair kutoka kwa msamaria mwema aliyepo Zanzibar, kwa ajili ya kijana wetu mwenye ulemavu, Zakaria wa kijiji cha Msisi huko Singida. Tunakushukuru sana ๐