Tunatofautisha vipi wasiojulikana na vitendo vya jeshi la Polisi hasa kwa kuzingatia malalamiko ya Mzee William kutoka Tarime, Mwanae akiwa Mwanza alikwenda kukamatwa na Jeshi la Polisi kisha akapotea. #MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Tunatofautisha vipi wasiojulikana na vitendo vya jeshi la Polisi hasa kwa kuzingatia malalamiko ya Mzee William kutoka Tarime, Mwanae akiwa Mwanza alikwenda kukamatwa na Jeshi la Polisi kisha akapotea. #MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Hivi karibuni tumeona Kuna Mfuko wa usaidizi wa kisheria unaitwa SAMIA LEGAL AID, ni sawa kuwa na mifumo ya namna hii katika nchi ambayo kuna kundi la wasiojulikana lilishindikana kudhibitiwa na mamlaka za serikali ? #MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
“Katiba hii ndio inafanya watu wahamishwe ovyo kwenye maeneo yao ambayo wapo miaka mingi, haina makali ya kuwalinda wananchi na dhuluma inayofanywa na viongozi wakatili tulionao ”— @MzeeFumbuaMacho#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Dini zimetumika kuwafanya watu kuwa waoga, wachungaji wala masheikh hawawezi kuhamasisha watu kupigania haki, wote wameangukia kwenye upande wa kuisifia serikali” — @HOMESTUDIO8#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Kwa katiba hii tuliyonayo hata kikiingia chama kingine madarakani kitafanya yanayofanywa na CCM, cha muhimu kwanza kabla ya yote ni kupigania #KatibaMpya itakayotulinda” — @HOMESTUDIO8#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Katiba hii tuliyonayo ni kama panadol iliyoisha muda wake haifai kwa matumizi ya binadamu na ukiitumia unapoteza muda haina kazi tena ” — @MzeeFumbuaMacho#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Viongozi bora husikiliza vilio vya wananchi sababu wanatakiwa kufanya maamuzi kwa kuzingatia matakwa ya wananchi na sio kwa maslahi yao au vyama vyao , #KatibaMpya itasaidia ili ” — @MzeeFumbuaMacho#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Kiongozi yoyote ameajiriwa na wananchi hivyo anahusika kuwalinda wananchi na kuwawakilisha vyema kwa asilimia 100 kwa kila jambo ” — @MzeeFumbuaMacho#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Jambo lolote la muhimu lazima utalipa muda na pesa hivyo serikali hawaoni suala la mchakato wa #KatibaMpya ni la muhimu ndio maana hawalipi muda wala pesa”— @MzeeFumbuaMacho#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Ni hatari kuchukua hatua za hatari lakini ni hatari zaidi kutochukua hatua za hatari, Watanzania tunakabiliwa na hatari kama tukianzisha vuguvugu la #KatibaMpya ila ni hatari zaidi kama tukikaa bila kutafuta #KatibaMpya ” — @MzeeFumbuaMacho#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
“Kwenye siasa hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya kila kitu hupangwa huu ucheleweshwaji wa mchakato wa #KatibaMpya ni mpango wa watawala kwa kuwa katiba hii inawanufaisha wao” — @Kadulyu#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Maendeleo ya watu ni uhuru wa watu hao ambao unalindwa na katiba , katiba ya sasa imeshindwa sana kulinda huru na haki za wananchi ”— @Kadulyu#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Ukiwa na mfumo bora wa utawala wa sheria watu hawawezi kupora mali za Watanzania kama walivyoporwa watu wa bureau de change” — @Oleshangay#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Nchi inatawaliwa sio kwa vile ina katiba la hasha ila ni kwa vile kuna majeshi yenye uwezo wa kutekeleza kinachotakiwa na serikali badala ya kutekeleza maslahi ya wananchi” — @Oleshangay#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Uraia wa kuzaliwa haupaswi kupotea kwa namna yoyote ile, hivyo ni haki ya msingi kwa Mtanzania kupata uraia pacha bila kujali uraia wake wa nchi nyingine” — @Oleshangay#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V
“Unapokuwa na mfumo mbaya wa utawala na kuharibu uelekeo wa maisha, maana yake umeharibu hatima ya vizazi na vizazi” — @godbless_lema#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/jonU1wwC6V