@iamNehemia Sawa wadanganye tu akili yako si imefikilia mwisho hapo kupata elimu ni Njia moja nzuri mno yakukufanya uwe na goal kuepuka kuishi kwenye tabia za kupata laki 5 inaisha yote unasubiri tena mwez after there inakuwa ni tabia na circle ⭕
@BlessdGrooveKid VITU vingine mkaushe ushamba tu fanya yanayokuhusu kausha kwanza mwanza ni Jiji means kuna population zinajumuisha watu kutoka sehemu tofauti wameajiliwa wanafamilia zao huko wengi origin Singida,Pwani n.k so kama Wana ndugu wametok out na ni wageni huko.
@EmanuelAndrea12@TMnyama4_ Doctor ni discipline level hakuna Dr level ya Diploma in short doctors ni MEDICAL OFFICER NDO qualifications Msaidizi wa Dr ni AMO sio CO sio ni decined program kuzalisha watu wa kutoa primary care sehem penye uhaba wa DR
@ayie2805@TMnyama4_ Huyo mgonjw ana complain kitu sahihi now days matibabu ni biashara ya watu acha kutetea mtu ana danger sign during pregnancy yeye anapima h pylori na ili apige hela H PYLORI NI 10000,WIDAL10000 THEN STOOL haya anacha Hadi urinalysis na UPT Hakuna dakita hapo mtafuta mapato t
@MalemboLE Haiitwi pesa ya kumuona Dr ni consultation fees
Sema Kwa Kiswahili tafsili ndo inaukakasi
Inshort ni pesa unayo lipa kabla hujaanza kupata huduma yeyote hospital. Ni pesa ya kituo Sio Dr ingekuwa halipwi basi hospital zingekuwa na hasara mno ask why