Twenty first century challenges require twenty first century perspectives. While the experience of previous generations remains valuable, lasting solutions are unlikely to emerge when those most affected by today’s realities are largely absent from the decision making process.
Effective leadership combines wisdom from the past with meaningful inclusion of the people who will live with the consequences of those decisions.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hamza Hassan Juma amesema Zanzibar haina ubaguzi kwa Wananchi wa Tanzania Bara, akisisitiza kuwa pande zote mbili zimechangamana kijamii na kiuchumi kupitia Muungano.
Akizungumza leo Juni 18, 2026 katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hamza amesema kuna upotoshaji unaodai kuwa Watu kutoka Tanzania Bara hawapati huduma sawa visiwani humo.
Amesema madai hayo si ya kweli, akieleza kuwa Wananchi wa pande zote wamekuwa wakiishi na kufanya shughuli zao katika maeneo yote ya Muungano bila vikwazo.
“Kuna wanaopotosha kwamba Watu kutoka Bara hawatibiwi, sio kweli Zanzibar hakuna ubaguzi hata sisi kule Bara tupo,”amesema Hamza.
#MillardAyoUPDATES
Waziri wa fedha na mipango Zanzibar Dkt Juma Malik Akili amesema manufaa ya Zanzibar na hadhi yake ni makubwa sana katika serikali yw Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza kuwa zaidi ya asilimia 50 ya mikopo ya ndani kwenye Serikali ya Zanzibar inatoka Benki kuu ya Tanzania ambapo Serikali ya Zanzibar ni mdau wa Benki hiyo.
"Lakini pia tunatumia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupata mikopo na mikopo hii inalipwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
Tuna miradi mingapi inaendelea? Hesabu yake akiitaka nitamfahamisha. Tuna hadhi pia ya kinga kama sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amani, utulivu na heshima yetu haipatikani kirahisi nje ya muungano huu, hata mbwembwe tunazotia barabarani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamkinga." Amesema.
Waziri Akili amebainisha hayo leo Juni 18, 2026 wakati akihitimisha mjadala wa Wizara yake kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar, akijibu hoja ya baadhi ya wabunge waliohoji kuhusu tija wanayoipata Zanzibar kuendelea kuwepo katika muungano kati yake na Tanzania bara.
@tutla7 Kujibu vile.. ni muhimu huduma za afya zikatolewa kwa watu wote wenyesifa za kupata
Na hata yule ajira yeye afocus kuwajengea vijana ujuzi na uwezo ili waajiriwe zaidi na sio kuattack raia wa bara
Same na ile case ya samaki
Kauli za ajabu zitagusa hisia za watu vibay
@tutla7 Master sio kwamba watu hawajui ila hawajapenda the way alivyojibu.
Why watu millioni 60? Na sio 200 au 300 ni means anausema watu wa upande wa pili wa Muungano
Je ZHSF mtu mwingine yoyote haruhusiwi kujiunga kama sio mzanzibari na anaishi zanzibar?
Kulikuwa hakuna umuhimu wa
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kumshawishi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Hijiryya yawe Nchi nzima.
Mufti ameyasema hayo leo Juni 15, 2026 mbele ya Rais Dkt. Mwinyi wakati wa mwendelezo wa Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu visiwani Zanzibar.
“Mimi nitumie nafasi hii kwamba mapumzo tunayaomba pia na kule Bara yaenee kwasababu Nchi ni moja, hii inaitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunaomba na sisi ieneee Tanzania nzima kwa kuwa Dkt. Mwinyi amethubutu kufanya jambo hili, namuomba Mungu awape zaidi Taufiq na uweze kumshauri Rais wa Jamhuri hili jambo liweze kuzagaa na kwa jambo hili ni sababu ya moja kwa moja kupata daraja la juu katika pepo,”amesema Mufti Zubeir.
Rais Dkt. Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano Juni 17, 2026 itakuwa siku ya mapumziko kwa Zanzibar ili kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislamu 1447 Hijirrya.
#MillardAyoUPDATES
Anasimamisha tu anakuambia kaka naona una enjoy safari.. Unatuachaje??😀😀😀😀 na mimi ni enjoy
Hapo unabidi ujiongeze usitengeneze matatizo makubwa bure😀😀
But all of this work, 80 percent will go to chinese contractors
15% to Other country contractors
And Only 5% will go to local contractors
We should change this
Kenya, Ethiopia and Tanzania invest heavily on infrastructure development for the 2026/2027 FY. Tanzania made the last minute changes on the infrastructure allocation.
1. Kenya - $4.1/37 billion.
2. Ethiopia - $3.57/15 billion.
3. Tanzania - $3.5/22 billion.
4. Uganda - $2.3/22.47 billion.
5. Rwanda - $580m/5.3 billion.
6. Burundi - $250m/2.3 billion.
South Sudan, Somalia and DR Congo go for late financial year readings. Meanwhile Kenya and Uganda highest allocations go to education sector and military respectively.
26yrs old ananitongoza nimebaki kucheka aisee, hivi hauoni kama mimi ni old enough to be your big sister 🤨 26 surely? Unitongoze mumama wa 30 something huko? Afu apo serious talking about “I will take care of you mamaa, I promise nimeanza kukupenda muda sana” we mtoto wewe 😂😂