@Lencer_B Umenikumbusha siku nilikua janitor kwa hizi hotel high end. Siku moja naosha choo ya madem kumbe kuna kaschana ka sonko flani kalikua heartbroken kwa choo kanalia. Manze kaliniona kaka break down kabisa. Nikakauliza if it's okay for me to talk to her and know what was up.