@bajabiri Hapo kwenye suala la wito nakataa maana mwalimu ndo mtu pekee anayetengeneza taswira ya taifa lijalo either liwe la wavuta bangi au wasomi tegemezi
@MankindUwezo Mbona tunahubiri tehama kila siku je kwenye secta ya elimu wameshindwa kuwatumia wataalam tulio nao nchini kwa ajili ya kupunguza japo matumizi ya karatasi pamoja na muda!?
@MankindUwezo@SuluhuSamia Nahii ya kuchagua au kuteua viongozi bila kujali vyama vyao vya kisiasa hujenga utendaji madhubuti na uwajibikaji kwa maslah mapana ya taifa na si watu binafsi pia huleta ushindani wa kiutendaji kuondoa viongozi kubweteka kwenye nafasi zao