Kahawa – Dhahabu Nyeusi ya Tanzania ☕🇹🇿
Kahawa ni zaidi ya kinywaji – ni urithi, ajira, na chanzo kikuu cha kipato kwa maelfu ya Watanzania. Kutoka mashamba ya Mbeya, Kilimanjaro, Arusha hadi Ruvuma, wakulima wanachangia uchumi wa taifa kupitia zao lenye thamani kubwa duniani.
Tajiri namba moja Tanzania anasema Afrika tuwekeze sana kwenye kilimo, iyo ndo fursa tunayoweza kutamba nayo.
Lakin kuna Kijana mwenzangu ni jobless atasema kilimo hakilipi kisa tu aliona kuna content creator anaigiza igiza vituko mtandaoni na anamiliki gari.
Sawa mwenetu, we iga content creator wa vituko, kama kuna siku kushawai kuwa na uhaba wa content creator tukaagiza content creator kutoka urusi na sio ngano.
@MpondaSabinus Kilomo cha mahindi nikizuri sana hasa mahindi ya njano yani yalishe,saivi tunauza 150k gunia namasoko yapo,lakini mahindi meupe miyeyusho kiukweli kwa saivi