Priva, umefanya kazi kwenye media zetu....mishahara tarehe 60 ni jambo la kawaida. Top Media houses zinalipa mchambuzi elfu 50 kwa siku.
Media gani itaajiri na kuwalipa hao wataalam/wachambuzi mnaowataka?
Nchi hii tuna ugonjwa wa kupenda kukimbilia kwenye kubana watu kupitia sheria.
Media industry inakufa wakaja wataalam wakasema tulete ITHIBATI. Ithibati imesaidia nini?
Media yetu haina uwezo wa kulipa WACHAMBUZI lakini bado mnataka kuwaongezea vigezo.
Legacy ya UJAMAA - Over regulation na kutaka kudhibiti kila kitu kutoka juu.
Kuna tofauti ya mchambuzi na mdau. Unapokwenda kwenye mdahalo wa kitaalamu kwenye chombo cha habari lazima tuzingatie taalum
Kuna tofauti ya uchambuzi wa kitaalam na maoni.
Kama ni maoni media husika inaweza kuandaa segment maalumu ya mashabiki kutoa maoni
Lakini kama tunaongelea Uchambuzi kama sehemu ya kuhitaji maoni ya kitaalam lazima hayo yazingatiwe
Kwa tafsiri sahihi hao unawaona ni PUNDITS. Hao wachambuzi kwa maana ya ANALYST wanaajiriwa na vilabu kutathmini mechi na viwango vya wachezaji na mbinu za wapinzani.
Pundit ni FANANI. Kazi yake kuu ni kunogesha mechi kupitia maoni na mtazamo wake mbele ya hadhira. Pundit ni sawa na MC. Maoni yake ndio yanaibua mijadala na kuichangamsha mechi.
Ndio maana nikasema hata hao kina Michael Owen, Garry Neville, Carragher wanapondwa na kutukana kila siku kwa sababu kazi yao kubwa ni kuchochea malumbano ya hoja kuhusu soka.
Ishu sio mishahara ishu ni public nuisance
Siku hizi watu hawakosoi tena wana kashfu
Sidhani kama wanafanya hivyo kwa sababu ya mishahara midogo.
Ni bora kuendelea kukosa weledi kwa kigezo cha malipo Michael?
Michael Lesen ya Ukocha inahitaji milion mia ngapi??
Mashabiki watatoa maoni kama mashabiki lakini mtu anapoitwa mchambuzi basi tunapaswa kuregulate sekta hiyo
@AbdulAlly253493 Yes. Kifupi, tuliache soko lijichuje. Huo ushindani, ubora na uwajibikaji unaletwa na mahitaji ya soko kulingana na mabadiliko. Hio ndio organic growth.
Ndio maana wapishi na wapamba keki wakatakiwa kusajiliwa na kupata kibali cha BASATA ili kuwa na viwango vya uwajibikaji na weledi? Bila kufahamu, mara nyingi Bongo tunajifungulia mlango wa UDIKTETA UCHWARA.
@maleko__ Ndio nachoongea. Kwamba ukitaka kuwalazimisha watu kuwa na lesseni za ukocha utafungua mlango wa kuminya uhuru wa kutoa maoni/wachambuzi kufunguka.
Fikiria scenario, mchambuzi lazima awe na leseni ya ukocha kutoka TFF au mamlaka fulani ya serikali. Kuna mchambuzi ataongea Taifa Stars ni mbovu wakati anajua mwishoni mwa mwaka anahitaji kupewa leseni ya msimu mpya?
@MichaelMwebe TFF haina mamlaka ya kumwambia chochote mchambuzi akiwa kwenye media, labda uwanjani na matukio ya TFF. TFF na wadau wake wakiona mchambuzi anazingua waende mahakamani.
@AbdulAlly253493 Acheni soko lijipange. Mashabiki sio watoto, watachuja na kujua nani anawafaa. Hata Ulaya, kuna watu wakimuona Michael Owen au Carragher anachambua wanasema ni heri watazame mpira au highlights kwenye mute mode.
Kwa tafsiri sahihi hao unawaona ni PUNDITS. Hao wachambuzi kwa maana ya ANALYST wanaajiriwa na vilabu kutathmini mechi na viwango vya wachezaji na mbinu za wapinzani.
Pundit ni FANANI. Kazi yake kuu ni kunogesha mechi kupitia maoni na mtazamo wake mbele ya hadhira. Pundit ni sawa na MC. Maoni yake ndio yanaibua mijadala na kuichangamsha mechi.
Ndio maana nikasema hata hao kina Michael Owen, Garry Neville, Carragher wanapondwa na kutukana kila siku kwa sababu kazi yao kubwa ni kuchochea malumbano ya hoja kuhusu soka.
@AndyMwaria Football is a game of opinions, ndio maana kocha huyu anaamini fulani anatakiwa kuanza, kocha mwingine anaamini huyo huyo mchezaji ni wa kusubiria kwenye benchi.
Dar es Salaamโs 20.3 km BRT phase 2 runs from the city centre to Mbagala, with dedicated lanes, split flyovers, and express buses averaging โ 30 km/h.
Three fixes would improve service:
โ Enforce the BRT lanes
โ Charge fares by distance
โ Pay the operator per kilometre
Mchambuzi wa mpira anatoa maoni yake. Anayosema si maandiko ya Koran au Biblia bali namna anavyouona mchezo. Pia kutoa maoni sio lazima uwe mchambuzi. Kina Gary Neville, Carragher, Michael Owen wanatukanwa na kupingwa kila siku kwa sababu mpira ni malumbano ya maoni.
@MichaelMwebe Wabunge wao wanabebwa na mfumo mbovu wa katiba yetu ambayo tunapigana vita kuiondoa ,hao ni case nyingine ila tusiwatumie kama mfano kuhalalisha uozo wa kwenye mpira ambao tunaweza kuudhibiti mapema na inawezekana. Sports analysis iwe ni taaluma kama taaluma nyingine tu.
Kama mbunge anayechambua bajeti, sheria na kuisimamia serikali sifa yake ya elimu ni kujua kusoma na kuandika, mnatoa wapi ujasiri wa kuwashurutisha 'wachambuzi' wa mpira 'kwenda shule' ?
Hujacheza mpira daraja lolote la juu, hujasomea elimu yoyote ya michezo, huna leseni ya Ukocha, uhalali wako wa kuchambua mpira unautoa wapi? Unawezaje kuwa mchambuzi unayechambua mbinu na hujawahi kusomea au kutumia hizo mbinu? Wachambuzi warudi Darasani. TFF iweke utaratibu, kama huna uzoefu wa soka au elimu basi usiwe Mchambuziโ
Mwandishi Nguli, Enock Bwigane