AFCON 2027 itapigwa hapa Afrika Mashariki lakini haiwezekani watu 30,000 watoke Banjul, Konakri, Ouagadougou, Kano, Sokoto, Benin City, Maiduguri, Mbuji Mayi, Benguela au Moxico kuja kuangalia timu yao. Inapaswa sisi Tanzania ndio tujaze hivi viwanja.
Benki na taasisi za kifedha zianze kuandaa kampeni za watu kujiwekea fedha, na watu binafsi na serikali iandae bidhaa na huduma kuzunguka AFCON 2027 ambazo zitamfanya mkulima wa mahindi pale Kigonsera Songea, Nyankende Ushetu au Ilunde Katavi.
@Thommunkondya Sijui umeelewaje mkali. Ila hapo nimetoa tu taarifa iliyo sahihi, mipaka ni mipaka tu lazima izingatiwe. Tuseme basi Songwe ni mkoa uliopo Zambia kisa upo karibu na Zambia. Na anayejua haupo Songwe ila anasema upo Songwe tunaweza muita mpumbavu?
South Korea
Korea Kusini
DRC
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Morocco
Moroko
Canada
Kanada
Ivory Coast
Pwani ya Pembe
Croatia
Korashia
Bosnia
Boznia
Belgium
Ubelgiji
Scottland
Uskochi
Some FWC countries in Swahili
World Cup
Kombe la Dunia
USA
Marekani
Spain
Uhispania
Portugal
Ureno
England
Uingereza
Egypt
Misri
South Africa
Afrika Kusini
Germany
Ujerumani
Netherlands
Uholanzi
France
Ufaransa
Sweden
Uswidi
Switzerland
Uswisi