@trinhezron Wakae na Kila tajiri wanaomuona duniani, haitusumbui chochote,sisi tutaendlea na hustle zetu za Kila siku na kumuomba Mungu wetu azidi kutupa uzima
@Siahnelly Kama ni rabbish ! Angalia video zote za kariakoo! Hujafa hujaumbika dada! Duniani tunapita tu, Hela ni nothing, Muombe Mungu wako akupe uzima.
@goligani Mungu ni wetu sote,tuzidi kuwaombea ndugu zetu,marafiki zetu ,hata pia wanaowasaidia kuwaokoa na pia wote waliopo mahospitali na pia tunashukuru Mungu pia waliotoka salamaπ