@mwigulunchemba1 Kiongozi hapaswi kuwa msanii kwa mambo muhimu . Kupiga picha eti unajiombea au unasali, haimaanishi kwamba kila kitu kiko shwari. Damu za watu bado zinataka utetezi. Haziraenda bure. Ole wao wale waliotia amri ya kuua au walioshiriki kuua, . Hawa kamwe hawataiona Amani nafsini
@RashdaZunde Nyie jumuiya ya mabondia uchwara msio hata na jina, wakati UTEKAJI NA MAUAJI YA RAIA YANAKIFANYIKA MLIKUWA WAPI MSIONGEE KITU!? .. HIvi mnajua hawa mnaowapiga vijembe ndiyo walipa viingilio kwenye kumbi za michezo ya ngumi??
@Mrsdaviee Siyo kwa kichagga, maana kichagga ni kikubwa mnoooo. Sema tu kwa kikwenu , Kivunjo,au Ki old moshi,. Kwa Warombo hayo matamshi wanatofautiana sana. Kwa hiyo siyo kila mchaga anatamka kama ulivyoandika hapo. Hicho ni kikwenu .