@GpixelP Kaffir ni neno la kiarabu lenye maana โnon believerโ yaani asiye muumini kwahiyo muislam na mkristo wasipofuata imani ya kibudha inatosha awa mabudha kuwaita waislamu na wakristo kuwa ni makafiri kwahiyo kafiri linaweza kutumika kwa mtu yeyote jifunze kukaa kimya kuliko kuropoka
@Chahali@SuluhuSamia jeshi la polisi na sirro wao tunalichukia bure tu lkn wahenga wanasema mchawi mtu paka katumwa tu siku jeshi la polisi litakapokuwa huru naamini litaupigwa mwingi sana tatizo linapotumika kisiasa mkamate huyu, muhoji huyu, mzuie huyu ndipo linapochafuka kisha linaachwa no mtetezi
@Chahali@SuluhuSamia sasa hivi hali ni shwari husikii matukio yeyote ndani ya nchi tanga, morogoro wala kibiti, kwahiyo tumpime kwenye field yake na huo ndio uadilifu. huwezi kumshindanisha nyani na samaki kupanda mti, nyani atafanya vizuri zaidi.
@Chahali@SuluhuSamia laiti jeshi la polisi na askari wake wangekuwa wanapiga kura kwa viongozi wao basi mchukue sirro msimamishie na kiongozi yeyote kwenye jeshi la polisi naamini sirro angeshinda kwa asilimia 100 msela anakubalika sana ndio chachu ya ushindi ndio maana matukio yametulia
@KumbushoDawson wacha kusikiliza propoganda za magharib ukraine anahali ngumu sana nenda instagram mfollow jamaa mmoja anajiita siasamakini upate habari za uhakika na zenye kuaminika kuhusu mgogoro wa ukraine vs russian huyu jamaa kaupiga mwingi sana tangia day one vita inaanza
@frediejustine good job, mtoto akililia wembe wacha umkate. marekani na nato wameshindwa kutia mguu wao wameenda kufanya nini huko, huko sio kwa gaddafi ni kwa Giant putin na urusi yake wawe makini siku nyingine