@ze_mandevu Kama ni njombe sidhani ungesema wanawake wafupi then weusi ni wavumilivu na wapambanaji sana ukiishi nao ukanda huo huo wa baridi ukihama nae tu ushamuharibu.
@IAmHaule Marafiki unaweza kuwa nao then Things pia zikaeleweka but pogress kutosogea inaumiza sana unajiuliza mno unakosea wapi na mara nyingi hili la tatu ni lazima tu utajilinganisha na wengine
@BarakaMaviatu Mengine ni ya kutotegemea tu unajikuta mmepishana kidogo tu ghafla umetumia nguvu ndogo mzee pumzi imekata akili mpya ya kujaribu kulisolve inakupa majibu ya kikatili ndo umzike bila mtu kujua au ukamtupe hata porini
@MarekaMalili@fadhilikangusi Ndoa nyingi zinamafanikio ila hazina haja ya jukwaa la kujitangaza inapotokea baadhi zikavunjika zinavuma sana bila kuangalia hasa sababu iliyopelekea kuvunjika nyingine ni mapungufu ya kawaida sana ambayo huenda yangezungumzika tu.
Ujasiri wa kweli hauji kwa kuwa mtu asiyekataliwa, bali unakuja kwa kukataliwa mpaka unaona ni kitu cha kawaida.
Jenga thamani yako, kuwa High Value na endelea kusukuma gurudumu. Uwanja ni wako.
Kama umejifunza kitu kwenye huu uzi, Retweet iwafikie na mabro wengine, kisha nifollow kwa madini zaidi ya kubadili mtazamo. 🥂📈