@kigogo2014 Tamko wanatoa sangapi mbona wamejificha mpaka sasa hawaonekani yani inatia hasira sana? Tamko ilibidi litoke ile ile Jana usiku duh jamn najuta kuzaliwa tz bora hata ningekuwa Nigeria mana Tz ni kisiwa cha uwoga
@millardayo Unakwama wapi punguza kujipendekeza mzee vyama vipo vingi lakini umeng'ang'ana na habari za JPM kama nini unakosea nilikuwa nakukubali sana lakini saivi kiukweli umenitika sana
@millardayo Jadili kuhusu huu ugonjwa mpya wa changamoto ya upumuaji asa ww unadokoa inshu private ya mtu itakusaidia nini unganeni waandishi wa habar kukemea yanayofanyika makaburini nyakati za usiku